Niliwahi sali Misa na kusikia hili jambo pale Parokia ya Mwenyeheri Anuarite Makoka – Tabata jijini Dar es salaam. IKO HIVI: Mchakato huu ulianza rasmi tarehe 13 Mei 2005 baada ya Baba Mtakatifu Benedikto XVI kuridhia ombi la Jimbo Katoliki la Musoma. Baada ya hapo, Papa Benedicto XVI alitangaza rasmi Nyerere kuwa “Mtumishi wa Mungu” (Servant of God). Na hii ni hatua ya kwanza kabisa katika safari ya utakatifu. HATA HIVYO: Mchakato huu ni mrefu sana. Unachukua miaka mingi na haumaanishi kuwa tayari ameshatangazwa kuwa mtakatifu bali bado yupo kwenye hatua ya Mtumishi wa Mungu. UTARATIBU MZIMA: Hivi ndivyo utaratibu…
Read More